Image
Image

Facebook yaongoza kwa idadi ya watumiaji wake.


Muanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amefahamisha taarifa kuhusu idadi ya watu wanaojiunga na kutumia mtandao huo kwa kipindi cha mwaka 2015 kuwa idadi imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Facebook inakaribia kufikia kiwango cha watumiaji bilioni 1,5.
Mitandao mingine kama vile Whatsapp, kwa mwenzi inawatu wapatao milioni 800, Messenger watumiaji milioni 700 huku Instagram ikiwa na watumiaji milioni 300.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment