Image
Image

Wanajeshi watatu wafariki katika shambulio la kigaidi Sirnak.


Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na makao makuu ya jeshi la Uturuki, wanajeshi watatu walifariki baada ya kushambuliwa na kundi la magaidi Akcay katika mkoa wa Sirnak Kusini –mashariki mwa Uturuki.
Magaidi hao walishambulia msafara wa maafisa wa jeshi waliokuwa wakirejea katika kambi ya jeshi ya Gormec na Seslice mkoani Sirnak.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment