Image
Image

Watu wawili wa kundi la kigaidi wauawa katika Operesheni ya Kijeshi katika eneo la Mashariki nchini Uturuki.


Magaidi wawili wa PKK waliuawa katika operesheni ya kupambana na ugaidi katika eneo la mashariki mwa Uturuki siku ya Jumatano baada ya askari watatu kujeruhiwa katika shambulio la kutumia roketi, serikali za mitaa zilifahamisha hivyo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa jimbo la Agri alisema kuwa magaidi wawili pia walijeruhiwa katika mashambulizi hayo.
Wanajeshi na polisi wa Uturuki wameathirika kwa idadi kubwa na mashambulizi ya kivita na magaidi wa kundi la Daesh wiki iliyopita ambapo bomu la kujitoa muhanga liliua watu 32 katika mji wa Sanliurfa eneo la Suruc Julai 20.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment