Image
Image

Wanafunzi 2 wafariki na wengine 4 wajeruhiwa baada ya treni kugonga basi la shule nchini India.


Wanafunzi 2 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine 4 kujeruhiwa baada ya treni kugonga basi la katika mkoa wa Jharkhand nchini India.
Kulingana na maelezo yaliyotolewa, treni moja iliarifiwa kupoteza mwelekeo na kugonga basi la shule lililokuwa likielekea shuleni katika mji wa Lohardaga.
Wanafunzi 2 walipoteza maisha papo hapo huku wengine 4 waliojeruhiwa wakiripotiwa kufikishwa hospitalini kwa ajili ya kufanyiwa matibabu.
Uchunguzi unaendelea kufanyika kuhusiana na ajali hiyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment