Image
Image

LOWASA rasmi kuchukua fomu ya kugombea Urais CHADEMA Leo.

Aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD LOWASA aliyehama Chama tawala cha Mapinduzi CCM na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar SALIM MWALIMU amesema Bwana LOWASA anatarajia kuchukua fomu hiyo kwenye makao makuu ya CHADEMA, Kinondoni jijini Dar es Salaam asubuhi hii.
Haya ndio Majibu ya Salum Mwalimu kuhusu Lowassa kuchukua fomu ya urais Chadema leo,anaongea hapa#Bofya Kusikia,na kwa Taarifa Endelea kufuatilia Taarifa zetu kumbuka pia ku Like Page yetu hapo juu>>

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment