Image
Image

TANESCO yaanza hatua za awali za kuunganisha nishati ya GESI tayari kuzalisha UMEME.


Shirika la umeme Tanzania Tanesco limeanza hatua za uunganishaji wa nishati ya gesi tayari kwa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi hiyo kwa kupitia kituo kikubwa cha umeme cha kinyerezi kwa grade ya taifa kupitia mradi mkubwa wa BRN.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa shirika hilo Bwana.felchesim mramba alipokuwa akielezea mafanikio ya miradi inayoendeshwa na shirika hilo na kuwataka wateja kuwa wavumilivu kwa kipindi hiki ambacho majaribio ya uunganishaji wa bomba hilo katika grade ya taifa ukiendelea.
Pia shirika hilo limategemea kuzima mfumo wa umeme wa luku tarehe 1 ya mwezi wa 8 na kuingia kwenye mfumo wa kisasa utakao rahisisha upatikanaji wa huduma hiyo tofauti na hali ilivyo sasa ambapo upatikanaji wa huduma ya luku umekuwa siwa uhakika.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment