Image
Image

Majibu ya Lubuva kuhusu kuongeza siku za uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa (BVR) yako hapa na Video yake.


Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema itaongeza mashine za kuandikisha wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es salaam kwa mfumo wa Biometric Voters Registration -BVR pamoja na watu wenye uwezo wa kuzitumia mashine hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu DAMIAN LUBUVA  amesema vituo vitakuwa vikifunguliwa saa moja asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili jioni,badala ya kufunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili jioni.
Hata hivyo, amesema ni mapema mno kuamua kama itaongeza muda wa zoezi hilo liliopangwa kukamilika tarehe 30 Julai 2015.
Mwenyekiti wa tume Damiani Lubuva anaongea hapa#Bofya hapo Kusikia,na kwa Taarifa Endelea kufuatilia Taarifa zetu kumbuka pia ku Like Page yetu hapo juu>>


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment