Image
Image

Polisi wa Honduras wakamata raia 160 wa Cuba walioingia nchini kinyume cha sheria.


Polisi wa Honduras wamekamata na kuwazuia raia 160 wa Cuba wanaodaiwa kuingia nchini kinyume cha sheria kupitia mpaka wa Nicaragua.
Raia hao wa Cuba wanaojumuisha watoto wadogo wanatarajiwa kupelekwa katika idara ya uhamiaji ili kufanyiwa uchunguzi zaidi.
Raia hao walikamatwa ndani ya mabasi ya abiria yaliyokuwa yakijaribu kuwasafirisha Marekani kupitia Honduras.
Mara kwa mara, raia wengi wa nchi za Marekani ya Kusini wamekuwa wakijaribu kusafiri nchini Marekani kinyume cha sheria kwa kupitia njia za mikato.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment