Manispaa ya Kinondoni imeonya kuwa itatumia nguvu za dola kuwazuia watu kwenda kambi ya wagonjwa wa kipindupindu ya Mburahati ambako serikali inagharimia kila kitu kwa wagonjwa.
Mganga Mkuu wa Manispaa Bwana AZIZ MSUYA amesema watu kwenda kambini hapo kuwaona wagonjwa au kuwapelekea chakula kumechangia kuwepo maambukizi mapya kufanya hadi sasa wilaya ya Kinondoni iwe na wagonjwa 300.
Home
News
Manispaa ya Kinondoni kutumia nguvu kuzuia watu kwenda kambi ya wagonjwa wa kipindupindu mburahati.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment