Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kuongea na Balozi wa Uturuki nchini anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe.Irene Florence Mwawa
Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali
Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam
leo Agosti 27,2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo
ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati
kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa
Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo
ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati
kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaamleo Agosti 27, 2015.
Home
News
Rais aagana na balozi wa Uturuki nchini,mabalozi wa Tanzania uholanzi na Zimbabwe na kuonana na mkurugenzi mkuu wa benki ya NMB ikulu jijini Dar es Salaam .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)








0 comments:
Post a Comment