Image
Image

AKILIMALI:Nyoso apwimwe akili hayupo sawa.


Mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wazee wa Klabu ya Yanga,Yahaya Akilimali amesema ungefanyika utaratibu wa beki Juma Nyosso kupimwa akili.
Pamoja na Nyosso kufungiwa miaka miwili kwa kumtomasa makalio nahodha wa Azam FC, John Rafael Bocco, mzee Akilimali amesema ingekuwa adhabu kali zaidi.
“Sisemi kwamba afungiwe kabisa maisha, hiyo ndiyo ajira yake. Lakini kama alizoea vitendo hivi akiwa mtoto ni tatizo.
“Pia kumpima akili kuangalia kama yuko vizuri, maana alifanya hivyo. Akaomba radhi, lakini haujapota hata mwaka amefanya tena.
“Hakika ni kitu kibaya sana, anaudhalilisha mpira ambao unajumuisha watu wengi wenye heshima, upendo na urafiki, kweli hafai kabisa,” alisema mzee Akilimali.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment