Image
Image

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho toka kwa mabalozi wa Uswisi na Uturuki ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akisaini kitabu cha wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015 
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli akiwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akisanini kitabu cha wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa  Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akiwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa  Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp na ujumbe wake akizungumza na Rais Kikwete baada ya kuwasilisha  hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment