Image
Image

Umoja wa Afrika kuwaundia mahakama maalumu watuhumiwa wa uhalifu wa kivita.

Umoja wa Afrika utaunda mahakama maalumu ya kuendesha kesi za watuhumiwa wa uhalifu wa kivita nchini Sudan ya Kusini baada ya kubainika vikosi vya pande zote mbili vimefanya uhalifu wa kivita yakiwemo mauaji.
Hatua hiyo ya Umoja wa Afrika inalenga kuunga mkono hatua ya Afrika kushughulikia
migogoro yake yenyewe kulingana na mazingira yake bila kuingiliwa na vyombo vya kigeni.
Kuundwa kwa mahakama hiyo ni sehemu ya makubaliano ya Rais Salva Kiir na Kiongozi wa
waasi, Riek Machar yaliyotiwa saini baada ya kuwepo shinikizo kutoka kwa viongozi wa
kanda.
Sudani ya Kusini haitambui mahakama ya uhalidu ya kimaaifa ya ICC wakati Umoja wa Afrika pia umeikosoa mahakama hiyo kwa kufanya kazi zake kwa upendeleo, madai ambayo mahakama hiyo imekanusha.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment