Chama cha ACT wazalendo kimemtaka rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.John Maguli kuingilia kati sakata lililiopo visiwani Zanzibar kwa sababau Tanzania haijakamilika kama Zanzibar haipo.
Kingozi mkuu wa chama hicho Mh.Zito Kabwe amesema
kitendo cha kutokuchukuliwa kwa hatua
kwa mambo yanayoendelea Zanzibar siyo sawa na hivyo rais Magufuli anatakiwa
amshinikize mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar kutangaza matokeo ili
kusudi kuondoa sinto fahamu inayo endelea visiwani humo.
Kwaupande wake Mwenyekiti wa chama hicho Bi.Anna Mghwira
amabaye alikuwa ni miongoni mwa weagombea urais amesema wanashukuru ucaguzi umeisha
na wataendeleza mipango yao kama kawaida
na wanashukuru kuwa serikali ya awamu ya tano imeanza vyema.


0 comments:
Post a Comment