Image
Image

Latest News:Chanzo cha mgomo wa wafanyakazi wa Urafiki Chabainika.


Afisa utawala wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI kilichopo ubungo jijini Dar es Salaam Bwana.Moses Swai ametolea ufafanuzi mgomo wa wafanyakazi wa kiwanda hicho ulioanza toka asubuhi kwa madai ya kushindwa kutekelezwa kwa agizo la mahakama ya kazi kwamba menejimenti ya kiwanda hicho na TUICO wakae kupitia majina ya zaidi ya watu elfu moja waliokuwa wanadai madai yao mbali mbali ikiwemo nyongeza za mishahara.
Mpaka kutokea kwa Mgomo nikile kinachoelezwa kuwa kushindwa kutekelezwa kwa agizo la mahakama ya kazi.





50
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment