Image
Image

Latest News:Wakazi wa Shimo la udongo wa Bomolewa nyumba zao baada ya kutakiwa kuondoka eneo hilo.


Baadhi ya wananchi wa shimo la udongo kurasini jijini Dar es Salaam wamelalamikia zoezi la bomoa bomoa ambalo limeendeleshwa leo na maafisa wa manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam baada ya wananchi hao kutakiwa kuondoka eneo hilo baada ya kufanyiwa tathimini ya malipo na serikali na kusema malipo hayo ni madogo kulingana na gharama za nyumba zao.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment