Uteuzo huo ni kwa mujibu wa
katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara TA 66 ambayo inampa madaraka
rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua wabunge 10.
Dokta.Tulia ambaye kwa sasa
anagombea pia nafasi ya Uspika wa Bunge anakuwa mbunge wa kwanza kuteuliwa na
rais Dokta.Magufuli na anatarajiwa kuapishwa rasmi katijka mkutano wa kwanza wa
Bunge la kumi na moja unaonza kesho
jumanne mjini Dodoma.


0 comments:
Post a Comment