Image
Image

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akutana na makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu na watendaji wakuu wa serikali ikulu.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Rished Bade na  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Katibu Mkuu Utumishi Mhe HAB Mkwizu  na  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Mcheche Masaju na  Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na  kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt John PombeMagufulileoasubuhikatikaIkuluya Dar esSalaam  amefanyakikaonaMakatibuwakuu, ManaibuMakatibuwakuu, GavanawaBenkiKuuProf.BennoNdulunaKamishnaMkuuwaMamlakayaMapato Tanzania (TRA)ilikutoauelekeowaSerikalianayoitakamarabaadayakuapishwa.
“NatakaSerikaliiendeleekwanguvuzotenakatikakutekelezadhanaya‘HAPA KAZI TU’naviongozikuzingatianakukumbukaahadinilizotoailizianzekuonekananakufanyiwakazimaramoja” RaisMagufuliamesema.
KatikaKikaochake, RaisametoamwongozonakusisitiziakuwanilazimakilamtendajiSerikalinikuuzingatia, kufuatasherianataratibuilitaifalisongembelekwaufanisizaidi.
KatikakikaohichoRaisameelekeza mambo kadhaaambayowatendajihaowanapaswakuyasimamia, kuyawekeamikakatinakuyapangavizuriiliatakapoteuaBaraza lake la Mawaziri mambo hayoyawetayariiliMawaziriwatakaoteuliwawawezekuyasimamiabilakukosa.
Mambo hayomuhimunikamaifuatavyo:
1.      KuanziamweziJanuarimwaka 2016, wanafunziwotewanaoanzashulewatasomaburebilakulipaada, Katikajambohili, Raisamewatakawatendajikuanzakuliwekeamikakatitayarikwautekelezaji
2.      Suala la mikopoyawanafunzinalolifanyiwekazinamipangoyakeikamilikekwaajiliyautekelezajimzurizaidi
3.      Amefuta safari zotezanjeyanchikuanzialeohadihapoatakapolitoleasualahilomaamuzimenginenakuelezakuwashughulizotezinazotakiwakufanywanjeyanchizifanywenakusimamiwanamabaloziwa Tanzania  wanaowakilishanchihukonje.

Penginepatokeejambo la dharurasananahatahilolazimakibalikitolewenaRais au KatibuMkuuKiongozi.BadalayakeRaisamewatakawatendajihaokufanyazaidiziarazakwendavijijiniilikuzijuanakutatuakerozawananchiwa Tanzania.
KatikaKikaohicho, RaisamemtakaKamishnawa TRA, NduguRished Bade kusimamiakwamakinizoezi la ukusanyajiwamapatonchininakuhakikishakerondogondogokwawananchilianzekutekelezwakamaalivyoahidikwakufanyiwakazimapemazaidi.
Raisameitaka TRA kukusanyamapatohayokutokakwawafanyabiasharawakubwazaidina wale wanaokwepakodibilakuogopamtuwalataasisiyoyotehapa Tanzania nakusisitizakuwakatikaSerikalihiiwakutoamaamuzivinginevyozaidiyahayaniyeyeRaisamaMakamu wake.
RaisMagufulipiaameagizausimamizikatikasuala la manunuziambalolimekuwalikitumikavibayanakuwamwanyawakuibiaSerikalikwawatukuongezabeiyavituhatakamanivyabeindogokabisakatikajamii.
“Ikitokeasualahilolikagundulikakwawatukuongezabeiyavitu, watendajiwatawajibishwamaramoja”. Raisamesema, nakuwatakawatendajihaokufanyakazizaokwakuzingatiaSherianataratibuzilizoponakuzingatiamaadilimemayakazi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment