Image
Image

Ahukumiwa kifungo cha maisha Ajerumani kufuatia mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994.






Raia mmoja wa Rwanda ambae alihamia nchini Ujerumani mwaka 2002 amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki kataika mauaji ya kimbari yaliotokea nchini Rwanda mwaka 1994.
Muhukumiwa Onesphore Rwabukombe amekana kuhusika na shutuma hizo za mauaji yaliosababisha vifo vya watu 400 mashariki mwa Rwanda.
Kabla ya hukumu hiyo kutolewa, alihukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa mauaji ya watu 450 ambao walikimbilia kujificha katika kanisa la Kiziguro mashariki mwa Rwanda.
Mahakama hiyo ilifahamisha baada ya kukusanya ushahidi kuwa Onesphore Rwabukombe aliwasafirisha wanamgambo wake katika gari lake hadi katika eneo la tukio na kutekeleza mauaji.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment