Image
Image

Breaking News:Daraja la Mwanga lakatika kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha usumbufu mkubwa.



Mawasiliano MWANGA mjini MKOANI KILMANJARO yamekatika kufuatia mvua iliyonyesha kuanzia saa saba usiku hadi saa kumi na   moja alfajiri na kukata mawasiliano kati ya OLD MWANGA na NEW MWANGA.

Mamia ya abiria kutoka  USANGI,UGWENO SHIGHATINI  na  MALAMBO  na wanotoka sehemu nyingine za nchi hawawezi kwenda maeneo hayo  kufuatia kukatika daraja la MWANGA.

M afuriko hayo ambyao yamedumu hadi wakati huu yamemsomba mwendesha bodaboda ambaya hadi wakati huu  hajapatikana na jina lake halijapatikana.

Watu wamekuwa wanasubiri mafuriko kupungua ili kuanza kuvuka ingawa kuvuka ingawa bado uhakika wa usalama wa daraja hilo bado  kujulikana kutoka na maji kupita juuya daraja hilo .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment