Image
Image

Kutokana na mgogoro wa kisiasa CUF kususia sherehe za mapinduzi Zanzibar.


Chama cha wananchi CUF kimetoa msimamo wake wakuto hudhuria kwenye sherehe za Mapinduzi kwa walichodai kuwa hawatambui uongozi uliopo madarakani visiwani humo.
Msimamo huo mzito umetolewa na mshauri mkuu wa katibu mkuu wa chama hicho  Mhe Mansour Yussuf  Himid kwa niaba ya Maalim Seif ambaye pia ni makamu wa kwanza wa rais ambapo amesema CUF kinaamini  kuwa uongozi uliokuwepo sasa  si uongozi uliotokana na nguvu za wanananchi huku akisema sherehe hizo huwa zinaongozwa na rais  aliyechaguliwa kikatiba na siyo  ambaye muda wake na uuongozi mzima umemaliza muda wao..
Kiongzoi huyo wa CUF ambaye amewahi  kuwa  mshika fedha wa CCM Zanzibar na waziri katika awamu mbili za Amani Akrume na  awamu ya Dr.Shein kabla kutimuliwa ndani ya CCM amemsmea malengo ya mapinduzi ya waasisi wake yalikuwa ni kuwa na nchi ianyongozwa na ridhaa za  wananchi  hivyo CUF imeamua kususia sherehe hizo hadi sheria  na katiba ya nchi itap[oheshimiwa..
sherehe za mapinduzi zinatarajiwa kuanza januari mbili huku  kwa mujibu ya  ratiba ya sherehe hizo zinaonyesha kuwa  maalim seif  na viongozi  wa CUF wakiwemio mawaziri wa cuf wameshirikishwa katika uiznduzi wa miradi mbali mbali ya sherehe hizo za kutimiza miaka 52 ya mapinduiz ya zanzibari
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment