Image
Image

Mgombea ubunge wa chama cha mapinduzi CCM ashinda Masasi.


Mgombea ubunge wa chama cha mapinduzi CCM Mohamed Chuwachuwa  amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la masasi mjini kwa kupata kura 16597 dhidi ya mgombea wa chama cha wananchi CUF  Halidi Likombe  aliyepata kura 14069 huku wananchi waliojiandikisha kupiga kura  ni elfu 60598 na kura zilizopigwa ni elfu 31.
Katika hali ilisiyo ya kawaida jeshi  la polisi lililazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha  kuwatawanya wafuasi wa chamam cha wananchi CUF ambao waliamini mgombea wao ndiyo mshindi licha ya mgombea wa chama hicho halid likombe maafuru kundambana na mkurugenzi wa mipango na uchaguzi CUF kukualiana na matokeo.
kufuatia ushindi huo mkurugenzi wa mji wa masasi Fortunatus Kagoro akamtangaza mshindi.
Vyama vingine vilivyogombea nafasi hiyo ni pamoja na CHADEMA, ACT  na NLD.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment