Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo
Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla alipotembelea wodi za hospitali
hiyo wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoa wa
Lindi.Katikati ni Mganga wa Meno na Kinywa katika hospitali hiyo, Dkt.
Hussein Athumani.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akisikiliza maelezo kutoka kwa Daktari wa zamu
kitengo cha dharura hospitalini hapo,Dkt. Ester Tumwanga (kulia) wakati
wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoani humo. Kushoto ni Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwasili katika jengo jipya la Hospitali ya
Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa na litahudumia
mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani ikiwemo
Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akitembelea maeneo ya jengo jipya la
Hospitali ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa
na litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani
ikiwemo Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (katikati) akiwa ndani ya jengo jipya la Hospitali ya
Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa na
litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani
ikiwemo Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kushoto) akitoa maelekezo baada ya kutembelea jengo
jipya la Hospitali ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea
kujengwa na litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi
za jirani ikiwemo Msumbuji.
Kaimu
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla
akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na
Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati
wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Mtaalamu
wa Tehama katika Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Abdallah
Kivurugo akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) namna
wanavyomsajili mgonjwa anapofika hospitalini hapo wakati wa ziara ya
kushtukiza aliyofanya leo mkoa wa Lindi.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akihoji jambo kwenye chumba cha mapokezi
katika Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, wakati wa ziara ya
kushtukiza aliyofanya leo mkoani humo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga
(kulia).
Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo
Kasanga akionesha kombe la mshindi wa pili kwa utoaji wa huduma bora
Tanzania kwa mwaka 2015 kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akipata maelekezo kwa wahudumu wa afya wa Hospitali
ya Ligula ya mkoa wa Mtwara wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo
mkoani humo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya
mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa wakati wa ziara ya kushtukiza
aliyofanya leo mkoani humo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akizungumza na duka la dawa kwa wagonjwa wanaotumia
huduma ya bima ya afya katika Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara.
Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt.
Shaibu Maarifa.
Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa
akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na
Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea wodi za wagonjwa wakati wa ziara
ya kushtukiza aliyofanya leo mkoani humo. Kulia ni Daktari wa zamu
kitengo cha dharura hospitalini hapo,Dkt. Ester Tumwanga.
Home
News
Naibu waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment