Image
Image

Zaidi ya wakazi 200 hawana makazi ya kuishi baada ya nyumba zao kusombwa na maji Arusha.



Zaidi ya wakazi mia mbili wa kata sita wilayani Arumeru mkoani Arusha  hawana makazi baada ya nyumba  zaidi ya sitini  kusombwa na mafuriko.
Mafuriko hayo  ambayo  pia  yamesomba ,ngombe na  mbuzi zaidi  ya hamsini na kuku  zaidi mia moja ishirini yameendelea  kusababisha  uharibifu mkubwa  wa  miundombinu  ya barabara.
Viongozi  wa  vijiji  vilivyokumbwa  na  maafa  hayo  wameamua kuwashirikisha wananchi kuanza matengenezo ya awali  katika barabara za mitaa mbalimbali  ili ziweze kupitika na kuimba serkali kwasaidia  korofi.
Akizungumza  baada ya kutembelea maeneo hayo ya maafa ,Mkuu wa wilaya ya Arumeru WILSONI NKHAMBAKU amewataka   wote waliojenga maeneo ya mabondeni pamoja na wale wanaoishi katika mikondo ya maji  kuondoka haraka ili kuepusha maafa zaidi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment