Image
Image

Baada ya JPM kutumbua Mkurugenzi Mtendaji TIC,Mtatiro Kaangazia kinaga ubaga utumbuaji huu.

Kwenye ukurasa wa Facebook wa Julius Mtatiro baada ya JPM kufanya Maamuzi ya kutengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC),Bi.Juliet Kairuki kuanzia Aprili 24 mwaka huu baada ya kutochukua mshahara wake alipoajiriwa Aprili Mwaka 2013,Ameandika haya hapa." Rais JPM amemfukuza kazi Mkurugenzi wa TIC (Kituo cha Uwekezaji) kwa sababu hajachukua mshahara tangu mwaka 2013 (Yaani hajapokea Mil 18 mara miezi takribani 33)!. Hebu ikulu ifafanue zaidi, mbona ni kama vile huyu katusaidia kuokoa zaidi ya milioni 600 za kitanzania? Si angelipewa chéti cha utumishi uliotukuka? Guess what! Yako mambo hamyaweki wazi, hayo ndo tunayataka.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment