Image
Image

Mahakama ya Kisutu yamfutia shitaka la utakatishaji fedha BOSI wa TRA Harry Kitilya na wenzake.


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia shitaka la kutakatisha fedha lililokuwa linamkabili aliyekuwa kamshina mkuu wa Mamlaka ya mapato nchini TRA Harry Kitilya na wenzake  kutokana na kuwepo kwa mapungu ya kisheria katika shitaka hilo.
Kutoka na shitaka hilo kufutwa kitilya na wenzake wanabakiwa na Mashtaka mengine saba na Mawakili wao wameanza kuomba dhamana juu ya Mashtaka yaliyobakia kwa watuhumiwa hao.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment