Image
Image

Kenya imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa dhidi ya madawa za kulevya

Kenya imeungana na nchi nyingine duniani jumapili kuadhimisha siku ya kimataifa dhidi ya madawa ya kulevya.
Siku hiyo inayoadhimishw
a kila tarehe 26 Juni hulenga kuhamasisha kuhusu matatizo ambayo madawa ya kulevya yanaleta katika jamii.
Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa lankupambana na madawa na uhalifu (UNODC) ,watu milioni 200 duniani wanatumia madawa ya kulevya kama vile cocaine,bangi,heroine n.k.
Akizungumza katika sherehe za siku ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya iliyoadhimishwa katika viwanja vya mtaa wa Huruma,waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery amesema serikali iko katika harakati za kushinda vita dhidi ya pombe haramu na madawa ya kulevya katika pwani ya Kenya.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment