Image
Image

Polisi wawaua wanaume watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi waliovalia hijabu Rufiji.

Watu watatu ambao wanadhaniwa kuwa ni majambazi waliokuwa wamefunika nyuso zao kwa kuvalia hijabu wameuawa na polisi baada ya kukaidi mashariti ya jeshi hilo nakuanza kupambana nao wakati wakiwa doria karibu na daraja la mto mkapa wilayani rufiji mkoani pwani.
Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema kuwa watu hao wote ambao ni wanaume mpaka sasa hawajatambuliwa kuwa ni wakinanani na uchunguzi unaendelea.
Kamanda Lyanga alisema kuwa licha ya kuwakamata watu hao watatu ambao inasadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wakitumia usafiri wa pikipiki aina ya BOXER,wengine wawili walitokomea na BOXER hivyo wanawasaka.
Soma kwenye taarifa hii hapa chini. 



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment