Image
Image

EXCLUSIVEL: UFAHAMU UGONJWA WA KISONONO KWA UNDANI KUPITIA KIPENGELE MAHUSUSI CHA AFYA NA MAISHA NA VILE VILE KUPITIA CITY FM RADIO 91.7 UTAPATA KUFAHAMU MENGI.

Hujambo mpenzi msomaji wa makala haya karibu Ujumuike  nami katika makala haya ya Afya na maisha. Leo nitazungumzia magonjwa ya kiso...
Read More

WAPINZANI WA RAIS MURSI WAVAMIA OFISI ZA CHAMA HICHO.

Nchini Misri   wapinzani wa rais Mohamed Mursi wa nchi hiyo, wamevamia ofisi za chama chake cha udugu wa kiislamu na kufanya uharibifu m...
Read More

BAADA YA HALI YA MZEE MANDELA KUZOROTA KWA SAA 48, RAIS JACOB ZUMA ASITISHA ZIARA YAKE NCHINI MSUMBIJI.

Hali ya rais wa zamani wa Afrika kusini Mzee Nelson Mandela imeripotiwa kuzidi kuzorota katika saa 48 zilizopita hatua iliyomlazimu rais ...
Read More

EXCLUSIVE: SERIKALI YAWASILISHA RASMI LEO MUSWAADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA FEDHA KWA MWAKA 2013 BUNGENI MJINI DODOMA.

Serikali leo imewasilisha bungeni Muswaada wa marekebisho ya sheria ya fedha kwa mwaka 2013 unaolenga kupunguza misamaha ya kodi kwa waw...
Read More

FAO: BAA LA NZIGE LATISHIA UHABA WA CHAKULA HUKO MADAGASCAR.

Nchini Madagascar baa la nzige ambalo udhibiti wake unatia mashaka linaripotiwa kutishia usalama na uhakika wa chakula nchini humo ...
Read More

EXCLUSIVE: MRADI MPYA BUKINAFASO SASA KUIWEZESHA NCHI HIYO KUKABILIANA NA UTAPIA MLO.

Kufuatia uhaba wa chakula hukoBurkina Fasomwaka 2012, shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP nchini humo limeanzisha mrad...
Read More

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AANZA ZIARA YAKE YA NCHI TATU BARANI AFRIKA AMBAPO TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI HIZO.

Rais wa Marekani Barack Obama ameanza ziara yake barani Afrika ambapo anatarajiwa kuzuru nchi tatu. Hata hivyo ziara hiyo imeghubikw...
Read More

EXCLUSIVE: SERIKALI YAWAHIMIZA WAZAZI, VIJANA NA WANANCHI KWA UJUMLA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTOKOMEZA BIASHARA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KUTOKANA NA ATHARI ZAKE KWA JAMII NA TAIFA

Serikali imewahimiza wazazi, vijana na wananchi kwa ujumla kuhakikisha wanatokomeza biashara ya dawa za kulevya ndani ya jamii, kwa kuwa...
Read More

EXCLUSIVE: JAMII YAASWA KUTO TUMIA DAWA ZA KULKEVYA.

Na Mwandishi wetu Faraja Kihongole aliyeko jijini Tanga  Ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga matumizi...
Read More

EXCLUSIVE: JESHI LAPOLISI LAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHAMA CHA WANANCHI CUF.

Jeshi la polisi kanda maalum Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na chama cha wananchi Cuf   kwenda ikulu siku ya ...
Read More

EXCLUSIVE: LHRC YAMTAKA WAZIRI MKUU PINDA KUFUTA KAULI YAKE ALIYOITOA BUNGENI JUNE 20 MWAKA HUU.

Kituo cha sheria na haki za binadamu - LHRC kimesema kinaendesha mchakato wa kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali na kisha kuandaa...
Read More

EXCLUSIVE: CCBRT YAWATAKA WANAWAKE WENYE VIASHIRIA VYA FISTULA KUWAHI MAPEMA KUPATA TIBA.

Na. Salum Mkambala, Dar es Salaam. Hospitali ya viungo ya CCBRT iliyopo jijini dar es salaam, imewataka wanawake wenye dalili au viash...
Read More

EXCLUSIVE: LITA ZA MAJI MILIONI MIATATU HADI MIASABA HAMSINI KUONGEZEKA KATIKA VITONGOJI NA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Uzalishaji na usambaziji wa maji katika jiji la dsm na vitongoji vyake unatarajiwa kuongezeka kutoka lita milioni 300 hadi lita milioni ...
Read More