Ligi kuu ya vodacom (VPL) inaendelea katika raundi ya 25 kesho kwa mechi 5 zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Turian, Morogoro na ...
Read More
Home
Archive for
April 2013
MAUAJI BUTIAMA YAKITHIRI,MWANAMKE AKATWA KICHWA
Na Augustine Mgendi, Mara. Vitendo vya Mauaji Kwa Wanawake katika wilaya ya Buiama Mkoani Mara bado Vinaendelea baada ya Mwanamke mmoja a...
Read More
VITENDO VYA UJANGILI VYAENDELEA KUKITHIRI PORI LA SELOU MKOANI RUVUMA'
Na.Emmanuel Msigwa , Tunduru Wimbi la vitendo vya ujangili dhidi ya Tembo katika Pori la Selou la Tunduru Mkoani Ruvuma ambalo limekith...
Read More
JAJI ATUPILIA MBALI MAOMBI YA MTUHMIWA - KIFO CHA PADRI MUSHI
Na. Munir Zakaria, Zanzibar. Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaack Sepetu leo ameyatupa maombi yaliyofunguliwa na mtuhumiwa wa ...
Read More
LEMA YUPO HURU
MBUNGE wa jimbo la Arusha mjini Godbles Lema ameachiwa kwa dhamana mpaka tarehe 29 mwezi wa tano kesi hiyo itakaposikilizwa tena katika Mah...
Read More
BALE ASHINDA TUZO ZA MCHEZAJI BORA
GARETH BALE amefanikiwa kushinda tuzo mbili za mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wacheza soka la kulipwa nchini England na mchezaji bora...
Read More
AZAM YATUA MOROCCO KWA AJILI YA KIKIPIGA J'MOSI NA RABAT
AZAM FC imewasili salama nchinio Morocco tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji, FAR Rabat, Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikish...
Read More
EXCLUSIVE: LEMA AFIKISHWA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHITAKA YA UCHOCHEZI
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi na ...
Read More
EXCLUSIVE: MCHAKATO WA KATIBA MPYA, TUME KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA WANANCHI.
Na .Mcharo Mrutu Dar es Salaam. Wakati tume ya mabadiliko ya katiba ikiwa katika hatua ya uchambuzi wa maoni ya wananchi pamoja na kuandi...
Read More
EXCLUSIVE: BUNGENI HAPATOSHI SAKATA LA MAJI, SPIKA MAKINDA ASITISHA KIKAO CHABUNGE HADI KIELEWEKE.
Na. Kuringe Mongi, Dodoma Pamoja na serikali kukubali kuongeza shilingi bilioni 184.5 katika miradi ya maji, spika wa bunge leo imembidi...
Read More
EXCLUSIVE: SIMANZI, HUZUNI ZA TAWALA DSJ, WAPOTEZA MPENDWA WAO MWANAHABARI CHIPUKIZI.
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari( DSJ) wapo katika simanzi kufuatia Msiba wa Mwanafunzi mwenzao ambaye ni waziri chuoni hapo kufar...
Read More
VIONGOZI WATAKIWA KUWA WABUNIFU
Viongozi mbalimbali nchini wamekumbushwa kuwa wabunifu katika kutatua matatizo ya wananchi ili kuhakikisha wanakabiliana kero za wananchi w...
Read More
EXCLUSIVE; SERIKALI KUCHUNGUZA SHULE NA VYUO BINAFSI VISIVYO NA BODI
Serikali imeanza kuchunguza na kuchukua hatua kwa shule na vyuo vyote binafsi visivyokuwa na bodi ili kuvichukulia hatua kutokana na kukiuka...
Read More
EXCLUSIVE: WAKAZI WA KINONDONI HATARINI
Wakazi na wafanyabiashara wa mtaa wa studio uliopo kinondoni jijini dsm wako hatarini kutokana na nguzo kubwa ya umeme iliyoko eneo hilo ku...
Read More
WANAFUNZI CHUO KIKUU WAKIRI KUTO JIAMINI NA KUPATASHIDA KWENYE LUGHA YA KIINGEREZA
Na. Peter shadrack, Dar es Salaam. Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu, wamekiri kuwa kutojiamini pamoja na matu...
Read More
EXCLUSIVE; WAFUGAJI WAPEWA SOMO JUU YA CHANJO KWA WANYAMA
Wananchi wanaofuga wanyama wa majumbani wametakiwa kuitikia wito wa serikali kuhusu suala zima la kuwapatia chanjo wanyama wanaowafuga ili k...
Read More
SEXCLUSIVE: HEREHE ZA MUUNGANO TANZANIA ZAFANYA MECHI YA SIMBA NA RUVU SHOOTING KUKIPIGA MEI 5 2013.
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam sasa itafanyika Me...
Read More
KWA MWENDO HUU BARCA INAWEZA KUSONGA MBELE LICHA YA KICHAPO CHA 4-0?
Barcelona wameruhusu wavu wao kuguswa mara nne katika mechi ya Champions League kwa mara ya kwanza tangu walipofungwa 4-2 na Chelsea katika...
Read More
POLISI KILIMANJARO WAACHA LINDO WAINGIA DISKO NA SMG.
ASKARI Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Kilimanjaro wanaolinda mipaka kukabiliana na biashara za magendo zisiende Kenya, wa...
Read More
EXCLUSIVE: YAFAHAMU MAMBO 11 JUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZAZIBAR.
Watanzania wapo katika harakati za kumbukumbuka na hata kusherehekea muungano wa tanganyika na zanzibar, uliokuwa umetiwa saini...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)