Home
Archive for
March 2015
Rais Kagame awasili Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Uwekezaaji wa Ukanda wa Kati
Rais Kagame akikagua gwaride la heshima .
Read More
Bunge mjini Dodoma limepitisha muswada wa Sheria ya Takwimu ya 2014 na muswaada wa usimamizi wa Kodi 2014.
Rais Kikwete awatembelea wahanga wa Mafuriko 1500 wanaolala nje baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji Buguruni jijini dar leo
Watu 6 wafariki wengine 9 kujeruhiwa vibaya baada ya magari manne kugongana uso kwa uso na gari ya halmashauri ya wilaya ya Nzega
Ndege ya shirika la ndege la ujerumani yaanguka nchini ufaransa ikiwa na abiria 142 eneo la Barcelonnette
Serikali imesema haina mpango wa kufanya marekebisho ya katiba ili kufanya Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupatikana kwa zamu kati ya Tanzania Bara na Zanzibar.
WHO yataka Dunia kuungana ili kuweza kuangamiza ugonjwa wa kifua unao ua watu Mililioni 1 na Laki-5 kila mwaka
News Alert:Hali sishwari Miswungwi mwanza mabomu ya machozi yatawala,baada ya waandamanaji kuandamana kuupeleka mwili wa mwenzao wanaye dai ameuawa na Polis.
Taifa Stars yawasili salama jijini Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya timu ya Taifa ya Malawi
Ripoti yabaini uzembe uliofanyika katika utoaji misaada kupambana na Ebela umesababisha kuua zaidi ya watu 10,000
Serikali imeweka bayana sababu zinazo changia tanzania kuwa maskini licha ya kuwa na rasilimali nyingi.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)