Home
Archive for
April 2015
Dk.Shein:Kuongezeka kwa kasi makusanyo kupitia Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) ni uthibitisho kuwa Mamlaka hiyo inatekeleza majukumu yake ipasavyo.
News Alert: Makundi ya wazee yapaza sauti zao kwa serikali kuhakikisha inakemea hospitali zake kwa kushindwa kuwa tambua na kupinga sera zao.
News Alert: UKAWA yatoa msimamo wake juu ya njama zinazoonesha kutaka kuahirishwa uchaguzi mkuu Octoba mwaka huu.
News Alert: Madaktari bingwa 16 kutoka nchini AUSTRALIA wamefanyia upasuaji wa moyo Watoto 15 hospitali ya Bugando
News Alert: ITV yashinda tuzo ya ubora SUPERBRAND Afrika Mashariki kwa mwaka 2015 na 2016 kundi la makampuni kumi bora katika tuzo hizo.
News Alert:Jinamizi la ajali bado laendelea kutesa wasafiri,basi la kampuni ya TAKBIR lavaana na ABOOD Mikese Morogoro.
Wakazi wa kitongoji cha KITAME katika halmashauri ya wilaya ya BAGAMOYO washauriwa kutowakataa wawekezaji.
News Alert:Mabadiliko ya tabia nchi kuathiri uhifadhi wa mazingira na mzunguko wa wanyamapori katika Ukanda wa uhifadhi wa Serengeti.
News Alert:Magyufuli ameapa kula sahani moja na uongozi wa kampuni inayojenga barabara za mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam.
Sumatra imesema kuwa hakunasababu ya kuendelea kuwa na vitengo vya kuzuia ajali za barabarani kama ajali zitaendelea kupoteza maisha kila uchao.
Chama cha walimu Tanzania mkoani mara kimepinga agizo la mkuu wa mkoa la kuwataka kubadili ratiba za masomo.
Katoni za maji ya kunywa kutoka kampuni mbali mbali zilizoingizwa kinyemela kutoka nchini Kenya zakamatwa na kuteketezwa.
Ubovu wa Barabara wasababisha adha kubwa ya usafiri na hivyo mkuu wa mkoa kukwama kwa saa kadhaa Tunduru-SONGEA.
Lukuvi amuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la mwanza kuwafikisha mahakamani watendaji wa ardhi wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya udanganyifu.
Yanga watwaa ubingwa, waishushia polisi kichapo kitakatifu cha goli 4 kwa moja uwanja wa taifa Dar es Salaam.
Ikulu imekana kuwepo kwa njama zozote za kutaka kumdhuru mwenyekiti mtendaji wa IPP LIMITED, DK. REGINALD MENGI.
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais,Ikulu, Salvatory Rweyemamu.
Read More
Wananchi wa Kwembe jijini Dar es wavamia ofisi za wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wakishinikiza kulipwa madai.
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kuiimarisha Ofisi ya Takwimu ya Taifa ili iweze kutoa huduma bora siyo tu kwa Serikali bali hata kwa wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
Balozi Rajabu Hassan Gamaha
Read More
Wananchi wahimizwa kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura masasi Mkoani Mtwara
Dr Slaa asema hakuna sababu serikali kutumia gharama kubwa sherehe za muungano huku wananchi wakiteseka hali ngumu ya maisha
Serikali wilayani Ngorongoro mkoani Arusha imezionya baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali zinazosababisha uvunjifu wa amani katika eneo la Ngorongoro.
Rais Kikwete awaongoza watanzania Kuadhimisha miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar viwanja vya Uhuru Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)